Leo tumekukutanisha na Mlimbwende ambaye amekuwa akimake Headline katika mitandao mbalimbali ndani na nje ya Kenya. Kwa jina unaweza Muita Corazon Kwamboka, mrembo ambaye anawachanganya maboss wengi sana huko kenya kutokana na Umbo lake la kuvutia. Unaambiwa kila atakapo kuwa anakatiza wanaume wanabaki mdomo wazi wakimshangaa kwa Uzuri wa Umbo lake.
Loading...
Post a Comment