Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    f
Loading...

KONA YA MAPENZI:USIULIZE MASWALI HAYA KWA MPENZI WAKO




Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri. Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani? 

Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.

 2. Uliwai kua na wapenzi wangapi? 

Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje.

 3. Umenipendea nini? 

Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje.

 4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi? 

 Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa.

5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan? 

Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin ,na kunafaida gan kujua hili.

Katu usipende kumwuliza mpenzi wako maswali hayo hapo juu.

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.

Translate

www.CodeNirvana.in

© Copyright YA MOTTO
Back To Top